Msimbo wa Promosheni wa Spinbetter Tanzania: jinsi ya kutumia TZGIFT kwa bonasi ya ukaribisho

Unapo Jisajili kwenye jukwaa la Spinbetter, kuna sehemu maalum kwenye ukurasa wa usajili ambapo unafaa kuweka msimbo wa promosheni wa Spinbetter Tanzania kama unao. Wakati wa kuunda akaunti yako, tumia msimbo wa bonasi TZGIFT ili kuongeza kiasi cha zawadi ya ukaribisho wa michezo au kasino hadi 30%. Hii itaongeza amana yako ya awali na kufanya dau lako kwenye tovuti kuwa la manufaa. Makala hii itakusaidia kuelewa jinsi code ya promosheni ya Spinbetter inavofanya kazi, msimbo huu unakupa nini na unapaswa kuingizwa lini.

Msimbo wa Promosheni wa Spinbetter ni nini na kwa nini unahitajika

Misimbo ya promosheni ni misimbo maalum ambayo watumiaji wanahitaji kutumia wakati wa usajili ili kupata faida kama vile ongezeko la kiasi cha bonasi ya ukaribisho au dao la bure. Kuna aina tofauti za misimbo ambayo hutumika kwa njia tofauti. Kwa mfano, unaweza kupata misimbo inayotumika wakati wa usajili, ingine inapatikana kwenye sehemu ya ofa na inahitaji kuamilishwa katika sehemu ya amana huku ingine ikitoka kwenye duka maalum la misimbo ya ofa. Msimbo wa ofa wa spinbetter ni msimbo wa kipekee unaotolewa na jukwaa ili kuwasaidia watumiaji kupata zawadi mbalimbali. Unapotumia msimbo wa ofa wakati wa usajili, unapata bonasi ya 30% zaidi kwenye amana yako ya kwanza. Hii inakupa pesa zaidi ya kuchunguza jukwaa.

Msimbo wa promosheni unatofautianaje na bonasi ya kawaida

Bila shaka, najua unajiuliza msimbo wa ofa unatofautianaje na bonasi ya kawaida. Kwa ufupi, unaweza kupata bonasi ya ukaribisho yenyewe bila kutumia msimbo wowote. Lakini unapo tumia msimbo wa ofa, unaweza kuongezea kiasi cha bonasi au kufungua ofa tofauti. Ni vyema kuelewa kwamba msimbo si salio tofauti, bali ni sharti la kuwasha au kuongeza bonasi.

Msimbo wa promosheni TZGIFT: unawapa nini wachezaji wa Spinbetter Tanzania

Ukurasa mkuu wa SpinBetter Tanzania kwa simu

Msimbo kuu wa TZGIFT huwapa wachezaji wa Spinbetter Tanzania ongezeko la kiasi cha bonasi ya ukaribisho kwa michezo na kasino. Msimbo huu unahusiana na usajili tu sio kwa wateja amabao washafungua akaunti tayari. Kutumia msimbo wa ofa hukusaidia kuongeza kiwango chako cha awali cha amana na kukupa fursa zaidi za michezo ya kubahatisha. Tofauti na bonasi ya kawaida, msimbo hutoa asilimia kubwa zaidi kwa bonasi yako ya kukaribisha.

Msimbo wa promosheni ya ukaribisho unafanyaje kazi

Unapotumia msimbo TZGIFT wakati wa kuunda akaunti,, kiwango chako cha bonasi ya ukaribisho huongezeka kwa 30%. Ongezeko hili linatumia kwa bonasi ya ukaribisho ya michezo na ya kasino. Kiasi cha mwisho utakachopata hutegemea kategoria utakayochagua, amana yako na masharti ya ofa.

TZGIFT inapaswa kuingizwa lini

TZGIFT inapaswa kuingizwa wakati wa usajili pekee. Hivyo basi, kana uko na akaunti tayari, huwezi tumia msimbo huu kwani ni wa wateja wapya pekee. Ukisahau kuweka msimbo wakati wa usajili, huenda ukakosa kuongeza baadaye. Angalia fomu ya kujisaijili kwa makini ili upate sehemu unayopaswa kuweka msimbo wa ofa kabla kukamilisha usajili. Jedwali hili linaorodhesha vigezo muhimu vya msimbo wa promosheni ya ukaribisho TZGIFT.

KigezoThamani kwa TZGIFTJinsi ya kueleza kwenye makala
MsimboTZGIFTTaja kama msimbo mkuu wa promosheni wa ukurasa
Aina ya msimboMsimbo wa promosheni wa usajiliHufanya kazi kwenye hatua ya kufungua akaunti
Athari kuu+30% kwenye bonasi ya ukaribishoHuongeza kiasi cha bonasi ya ukaribisho
KategoriaMichezo na kasinoInafaa kwa bonasi ya ukaribisho ya michezo na bonasi ya ukaribisho ya kasino
Kwa naniWatumiaji wapyaUsiweke kama msimbo wa akaunti zote
Wakati wa kuingizaWakati wa usajiliOnya wazi kuwa baada ya usajili inaweza kuwa umechelewa
Cha kuangaliaMasharti ya bonasiAmana, muda, kuchezesha bonasi, vikwazo

Jinsi ya kuamilisha Msimbo wa Promosheni wa Spinbetter wakati wa usajili

Msimbo wa promo wa SpinBetter Tanzania wakati wa usajili

Kuamilisha msimbo wa promo wa spinbetter wakati wa usajili ni mchakato rahisi. Hapa chini kuna mwongozo wa hatua kwa hatua kuhusu jinsi unavyoweza kuamilisha msimbo huu.

  1. Nenda kwenye tovuti rasmi ya Spinbetter.
  2. Fungua fomu ya usajili na uchague njia ya kujisajili.
  3. Jaza sehemu zote zinazohitajika.
  4. Chagua bonasi ya ukaribisho: ya michezo au ya kasino.
  5. Ingiza TZGIFT kwenye sehemu ya msimbo wa promosheni bila nafasi za ziada wala makosa.
  6. Kamilisha usajili.
  7. Timiza masharti ya kupata bonasi ya ukaribisho.
  8. Baada ya kupata bonasi ya ukaribisho, msimbo wa promosheni utatumika kiotomatiki.

Nini cha kuangalia baada ya usajili

Baada ya kukamilisha mchakato wa usajili, ni muhimu kuangalia masharti ya kupokea bonasi ya kukaribisha na sheria na masharti ya bonasi. Kwa mfano, lazima utimize mahitaji ya kuweka dau kwa bonasi kabla ya kutoa pesa. Unapaswa pia kusoma sheria na masharti ili kujua michezo iliyotengwa kwenye sharti la kuweka dau. Wateja pia wanafaa kuangalia kama msimbo wa promosheni umetumika. Utajua msimbo umetumika ikiwa bonasi ya ukaribisho imeongezeka.

Bonasi ya michezo na bonasi ya kasino: TZGIFT inahusianaje na kategoria hizi mbili

Masharti ya bonasi ya kukaribisha ya kasino

Unapojiunga na Spinbetter, una fursa ya kuchagua bonasi ukaribisho ya michezo au ya kasino. Kama unapenda kubashiri michezo, bonasi ya michezo inakufaa. Ikiwa wewe ni mpenzi wa kasino, bonasi ya kasino ndio bora. Msimbo wa promosheni TZGIFT unawezatumika kwa kategoria zote mbili za bonasi kwasababu unaongeza bonasi ya ukaribisho. Wateja wanapaswa kusoma masharti ya bonasi ya michezo na kasino kwani ni tofauti.

Ikiwa mtumiaji anachagua bonasi ya michezo

Bonasi ya kukaribisha ya michezo

Kama umechagua bonasi ya michezo, bonasi hii inatumika kwa dau za michezo pekee wala si kasino. Bonasi ya michezo ya Spinbetter inatumika kwa ama 5 za kwanza na asilimia ya juu kwa jumla ni 275%. Kiasi cha juu cha hii bonasi ni 1 400 000 TZS.

wachezaji lazima watimize kiwango cha chini cha amana kinachohitajika kupata bonasi hii. Zaidi ya hayo, ni muhimu kujua masharti ya kuichezesha bonasi, viwango vya dau na aina za dau zinazokubalika.

Kwa mfano, tazama jedwali hili linaloonyesha mfano wa kutumia msimbo wa promosheni wa Spinbetter.

KigezoTaarifa
Kiasi cha amana4 200 TZS
Asilimia ya bonasi kwenye amana100%
Kiasi cha bonasi4 200 TZS
Nyongeza ya msimbo wa promosheni1 260 TZS (30% ya 4 200 TZS)
Kiasi cha mwisho cha bonasi pamoja na msimbo wa promosheni5 460 TZS

Ikiwa mtumiaji anachagua bonasi ya kasino

Bonasi ya kukaribisha ya kasino

Bonasi ya ukaribisho pia inatumika kwenye sehemu ya kasino. Bonasi ya kasino hutumika kwa amana 4 za kwanza na bonasi ya juu kwa jumla ni 200% + mizunguko 150 ya bure. Kiasi cha juu cha hii bonasi ni hadi 4 500 000 TZS. kama bonasi ya michezo, unafaa kuhitimu kiasi cha chini cha amana ili kupokea hii bonasi. Wateja wanapaswa pia kujua masharti ya kucheza bonasi ya kasino na michezo inayo kubalika kwa kutimoza masharti hayo.

Jedwali hili linaonyesha mfano wa kutumia msimbo wa promosheni kwa bonasi ya kasino.

KigezoTaarifa
Kiasi cha amana35 000 TZS
Asilimia ya bonasi kwenye amana100% + mizunguko 30 ya bure
Kiasi cha bonasi35 000 TZS + mizunguko 30 ya bure
Nyongeza ya msimbo wa promosheni10 500 TZS (30% ya 35 000 TZS)
Kiasi cha mwisho cha bonasi pamoja na msimbo wa promosheni45 500 TZS + mizunguko 30 ya bure

Duka la misimbo ya promosheni la Spinbetter: jinsi ya kupata dau za bure kwa pointi za bonasi

Duka la msimbo wa promosheni wa Spinbetter ni mfumo tofauti kwa watumiaji wapya na watumiaji waliopo. Wachezaji hukusanya pointi za bonasi kupitia shugli zake kwenye jukwaa kama kuweka dau, kushiriki katika matangazo au kuweka pesa. Pointi hizi hubadilishwa kwa misimbo ya ofa ili kuwawezesha watumiaji kupata dau za bure au mizunguko ya bure.

Pointi za bonasi hukusanywaje

Wachezaji wanaweza kukusanya pointi nyingi kwa kuendelea kupitia shugli zako kwenye jukwaa. Unaweza pata pointi kupitia kuweka dau, kuweka amana, au kushiriki katika promosheni zinazokupatia pointi za bonasi. Baada ya muda, pointi hujumuika, na unaweza kuzikusanya na kuzibadilisha kwa dao za bure. Pointi za bonasi huongezwa unapobofya kitufe cha ‘Omba pointi za promosheni’i. Pointi za chini kabisa za ofa zinazohitajika ili kukomboa ni 100. Mfumo huu pia unajumuisha pointi ulizopata katika siku 10 zilizopita tangu mara ya mwisho ulipoweka pesa za bonasi.

Pointi zinaweza kubadilishwa kwa nini

Kama umekusnaya pointi mingi, unaweza kuzibadilisha kwa kategoria mbalimbali kama dau, michezo, michezo ya kasino na michezo ya kielekroniki. Orodha hii inaonyesha mifano ya dau za bure zinazoweza kupatikana kwa pointi.

  • Dau la bure kwa ubashiri: dau moja, mkeka wa matukio kadhaa kwa tukio lolote;
  • Dau za bure kwa michezo: dau moja la tenisi, mkeka wa mpira wa kikapu, dau moja la voliboli n.k.;
  • Dao za bure kwenye michezo ya video na michezo mingine: dau la bure kwenye Dota 21, Lucky Knight, Money Wheel n.k.;
  • Dau la bure kwa michezo ya kielektroniki: dau la bure kwenye soka ya mtandaoni, tenisi, mpira wa kikapu n.k..

Makosa ya mara kwa mara wakati wa kuingiza msimbo wa promosheni wa Spinbetter

Wachezaji hufanya makosa ya mara kwa mara wanapoingiza msimbo wa promosheni wa Spinbetter. Katika hali nyingi, makosa mengi ya misimbo ya promosheni hayahusiani na msimbo wenyewe bali na muda wa kuuingiza, makosa kwenye herufi au kuchagua bonasi isiyo sahihi. Kujua makosa haya ni muhimu kwani itakusaidia kuyaepuka wakati wa kuingiza msimbo wa ofa. Haya ni baadhi ya makosa ya kawaida ambayo watumiaji hupitia.

  • Msimbo umeingizwa baada ya usajili: TZGIFT huamilishwa kwenye hatua ya kufungua akaunti;
  • Kosa la kuandika msimbo: nafasi ya ziada, herufi isiyo sahihi, mpangilio usio sahihi wa herufi kubwa na ndogo;
  • Bonasi isiyo sahihi imechaguliwa: mtumiaji amechanganya michezo na kasino;
  • Masharti ya kupata bonasi hayajatimizwa: huenda amana au uthibitishaji wa akaunti ukahitajika;
  • Mtumiaji anatarajia bonasi bila amana: TZGIFT huongeza bonasi ya ukaribisho, lakini haitoi bonasi bila amana.

Faida na hasara za msimbo wa promosheni TZGIFT

Faida

  • Huongeza kiasi cha bonasi ya ukaribisho kwa 30%
  • Unatumika kwa bonasi ya michezo na pia kwa bonasi ya kasino
  • Hutumika kiotomatiki baada ya kupata bonasi ya ukaribisho
  • Hauna masharti ya ziada ya kuchezesha bonsai
  • Wachezaji wanapata fedha zaidi kwa vipindi virefu kwenye tovuti

Hasara

  • Unapatikana kwa wachezaji wapya pekee
  • Kuamilishwa kunawezekana tu kwenye hatua ya usajili
  • Bonasi ya ukaribisho yenyewe inahitaji kutimizwa kwa masharti ya kuichezesha

FAQ